VOA Swahili ›› Miili ya waliofariki katika ajali ya ndege yawasili Nairobi
Jenerali Francis Omondi Ogolla alifariki katika ajali ya helikopta ya jeshi siku ya Alhamisi, muda mfupi baada ya kupaa, kaskazini magharibi mwa Kenya. Ogolla alikuwa ametoka kuwatembelea wanajeshi wanaopambana na uhalifu unaotokana na wizi wa mifugo …